.
Diamond
akifanya makamuzi katika fiesta 2013 ndani ya uwanja wa michezo wa
jamhuri Morogoro, katika tamashala hilo Diamond hakushangiliwa sana
tofauti na matamasha mengine ambayo nimewahi kumshuh
udia mkali huyu akitumbuiza anaweza kushika nafasi ya pili.
ufunjifu wa maadili katika matamasha ya usiku ni O:
Vivazi vya wadada katika matamasha ya usiku huwa wengi wao wanavaa hivyo unavyoona.
Ney wa Mitego akiwapagawisha mashabiki katika tamasha hilo. yeye anashika nafasi ya tatu
udia mkali huyu akitumbuiza anaweza kushika nafasi ya pili.
Vivazi vya wadada katika matamasha ya usiku huwa wengi wao wanavaa hivyo unavyoona.
Linah akiwajibika na shabiki wake, yeye anapata alama sita.
Muziki
wa kizazi kipya Recho akitumbuiza mashabiki wake wakati wa tamshala
fiesta 2013. anashika nafasi ya tano. maoni hayo haya ni mtazamo wa
mwandishi wa blog ambaye alihudhuria tamasha hilo kuanzia saa 1:30 usiku hadi majira ya saa 8 usiku juzi.
Tamina
akighani mashairi ya hip pop wakati wa tamasha la fiesta ndani ya
uwanja wa jamhuri Morogoro, msanii huyu kwa upande wangu ndiye niliona
amekonga nyoyo za mashabiki katika fiesta hilo kutokana na kupewa sapoti
kubwa na mashabiki pindi alipokuwa akiwaeleza jambo kupitia kipoza
sautu, are red !!!!! yessssssss !!! kwa sauti nyingi tofauti na wasanii
wengine. anashika nafasi ya kwanza.
No comments:
Post a Comment