Thursday, 19 September 2013
Katika zoezi nzima la upigaji picha ya movie mpya msanii Khamis Nurdin Filam inaitwa 990 WAMEKUFA.Wasanii Kulwa kikumba(DUDE) pamoja Mohammed Fungafunga(JENGUA) wameshiriki pia katika kaz hiyo
Akiongea na Forever entertainment msanii Kulwa Kikumba(DUDE) akiwa Location ya kazi hiyo maeneo Mgama siku apiga picha za filamu hiyo akiwa na furaha anasema "Nimefurahi kufanya kazi hapa mkoani Irnga napata exposure na kubadili mazingira yangu ya kazi,Tumekuwa tukifanyia kazi zetu Mkoan Dar es salaam lakini tunapopata nafasi kuja mikoan basi tunafurahi ki ukweli.
msanii huyu anasema anafurahia sana matunda yatokanayo na sanaa kwa sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment