Wengi wanamfahamu vizuri mkoani Ruvuma.Awapo stage huwa anajua nini kimemuweka,anajuanthamani ya mashabiki waliompokea na nini hasa watu wake wanahitaji.Nadiriki kumita the legend wa mkoa wa Songea.Wenyewe wanamwita Cammy G au Cammy boy.Katika maongezi yangu mafupi na Cammy anaiongeleaje sanaa ya mkoa wa Ruvuma?Haya ndo machache alioweza kunena nami
"Songea ni mji uliojaaliwa vipaji lakini ushirika,majungu na fitina imekuwa chachu ya kurudisha nyuma sanaa mkoa wa Ruvuma.Kimtazamo Wanasonge tunapaswa kua wamoja.Awe msanii wa sanaa ya maigizo,muziki au ngoma za asili tunapaswa kushirikiana.Inapaswa kwa msanii wa muziki anapokutana na mwenzie wa maigizo amuone kama kaka,awe wa ngoma za asili basi ndugu yake.
Songea tunapaswa kujenga umoja unaoweza kututetea hata kesho tupatapo matatizo"
Cammy boy anapatikana mkoa wa Songea,msanii mwenye uchungu na sanaa ya mkoa wa Songea.Ifahamike Kwama Songea inatoa majina kibao katika tasnia ya muziki na Tmathilia.
Ifamike kuwa Somgea ni moja ya sehemu zinazotoa vipaji.Majian kama Prof J,Roze Ndauka na Juma kilowako(marehemu mungu amrehemu huko Aliko.)yametokea mkoani hapo
No comments:
Post a Comment