![]() | |
Filamu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa mwezi ujao yaani October katika ukumbi utakaotangazwa hapo baadaye. | Wapenzi na mashabiki wa filamu mkoa wa Iringa mnaombwa mkae mkao wa kula.Kwa mujibu wa Mr luckson itakuwa ni bonge la uzinduzi,haijawahi kutotea hapa The Stone Town(IRINGA) |
Friday, 27 September 2013
HABARI NYEPESI:FILAMU YA STRESS KUZINDULIWA KWA KISHINDO-IRINGA
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu hatimaye kundi maana Mundu sanaa Group linatarajia kuzindua kazi yao mpya iendayo kwa jina STRESS.Filamu hiyo ikiwashirikisha mastar wakubwa wa Iringa kama Luckson Dickson Luswema ambaye ndo producer wa kazi hiyo na Athanas Kipera(Kibela).Pamoja Superstar kutoka Bongo movie Msanii Benny
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment