Saturday, 2 November 2013

Msanii Magumashi ambae huwa ni mtata katika shilikisho la filam mkoa wa Iringa akionekana yeye katika vikao kila msanii humwangalia yeye kwani huwa anapingana na wenzie katika maamuzi, hivi sasa wameungana na Masanja wa Iringa ambae ni mtata katika kuigiza sauti tofauti tofauti iliompa umaarufu ni sauti ya Msanja nanyingine ya Kingwendu, wamekubaliana kwa pamoja kupiga shoo kabambe katika vijiji vyote vya mkoa wa Iringa

No comments:

Post a Comment