Wednesday, 30 October 2013

African Big Mama
Bonge la filamu kutoka nyanda za juu kusini kuzinduliwa kwa kishindo mkoani Ruvuma,Iringa,na Mbeya hvi karibuni.Wapenzi wa sanaa mnashauliwa kutoikosa.Imechezwa na wasanii wenye kila aina ya vipaji kama Mohammed Fungafunga(Chief Jengua),Shukran faraji(Azii),Twalib Nzalamalenga(Michael) na wengine wengi.Uzinduz unatarajiwa kuanza kufanyika siku mwanzo za mwezi november

No comments:

Post a Comment