Sunday, 17 November 2013

BREAKING NEWS :Watu7 wamefariki dunia hapo hapo na wengine5 kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo ya dakawa mkoani morogoro

Monday, 4 November 2013

Eddo Bashil arudi kazini kwa kishindo Eddo Bashil mtangazaji wa ridio Ebony hivi sasa yupo makambako katika shoo za mtikisiko baada ya siku kazaa kurudi kazani apokelewa na mashabiki rukuki kiasikwamba hakutegemea kama itakuwa hivyo Eddo pichani akimpa mkono shabiki wake alie vaa kofia enye rangi nyeupe na nyeusi Eddo amemaliza na kusema kuwa hana chakuwalipa mashabiki wake zaidi ya mwenyez mungu pekee na kuahidi kuwa atajitupa kadri ya uwezo wake katika kuwalizisha mashabiki wake kikazi


Sunday, 3 November 2013

Amsha Lorence arudi kwenye gem kimya kimya msanii wa filam Amasha Lorence hivi karibuni ameanza mazoezi wakishilikiana na swahiba wake kipenzi Khamis Nurdin wameamua kuwachukua wasanii na kujichimbia porini kujiivisha kikazi Amasha anasema filam hiyo itakuwa ni ya kutisha ilembaya nandiomana wameamua kwenda kuifanyia porini anaomba mashabiki wawe tayari kuipokea kazihiyo ambayo wameshilikiana na Khamis Nurdin mzoefu wa filam hizo 

huyu ni Rems John akiwa katika   zoezi anacheza kama zombi. Hizi nipicha za mazoezini kwao huku porini bado filam haijaanza kuchezwa 

huyu nibinti yupo katika zoezi kaigiza kufa anaita Anna

Khamis Nurdin akiwa na Leah Mhema katika zoezi la filam hiyo ya kutisha, kweli balaa 

Saturday, 2 November 2013

Msanii Magumashi ambae huwa ni mtata katika shilikisho la filam mkoa wa Iringa akionekana yeye katika vikao kila msanii humwangalia yeye kwani huwa anapingana na wenzie katika maamuzi, hivi sasa wameungana na Masanja wa Iringa ambae ni mtata katika kuigiza sauti tofauti tofauti iliompa umaarufu ni sauti ya Msanja nanyingine ya Kingwendu, wamekubaliana kwa pamoja kupiga shoo kabambe katika vijiji vyote vya mkoa wa Iringa