Sunday, 17 November 2013
Monday, 4 November 2013
Eddo Bashil arudi kazini kwa kishindo Eddo Bashil mtangazaji wa ridio Ebony hivi sasa yupo makambako katika shoo za mtikisiko baada ya siku kazaa kurudi kazani apokelewa na mashabiki rukuki kiasikwamba hakutegemea kama itakuwa hivyo Eddo pichani akimpa mkono shabiki wake alie vaa kofia enye rangi nyeupe na nyeusi Eddo amemaliza na kusema kuwa hana chakuwalipa mashabiki wake zaidi ya mwenyez mungu pekee na kuahidi kuwa atajitupa kadri ya uwezo wake katika kuwalizisha mashabiki wake kikaziSunday, 3 November 2013
Amsha Lorence arudi kwenye gem kimya kimya msanii wa filam Amasha Lorence hivi karibuni ameanza mazoezi wakishilikiana na swahiba wake kipenzi Khamis Nurdin wameamua kuwachukua wasanii na kujichimbia porini kujiivisha kikazi Amasha anasema filam hiyo itakuwa ni ya kutisha ilembaya nandiomana wameamua kwenda kuifanyia porini anaomba mashabiki wawe tayari kuipokea kazihiyo ambayo wameshilikiana na Khamis Nurdin mzoefu wa filam hizo
huyu ni Rems John akiwa katika zoezi anacheza kama zombi. Hizi nipicha za mazoezini kwao huku porini bado filam haijaanza kuchezwa Saturday, 2 November 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)

