African Big Mama
Bonge la filamu kutoka nyanda za juu kusini kuzinduliwa kwa kishindo mkoani Ruvuma,Iringa,na Mbeya hvi karibuni.Wapenzi wa sanaa mnashauliwa kutoikosa.Imechezwa na wasanii wenye kila aina ya vipaji kama Mohammed Fungafunga(Chief Jengua),Shukran faraji(Azii),Twalib Nzalamalenga(Michael) na wengine wengi.Uzinduz unatarajiwa kuanza kufanyika siku mwanzo za mwezi november
Wednesday, 30 October 2013
MIALE SANAA : Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwanga...
MIALE SANAA : Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwanga...: Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwangata mkoani Iringa leo hii amekutana na mratibu wa kikundi cha Miale sanaa Group Timoti Joh...
MIALE SANAA : Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwanga...
MIALE SANAA : Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwanga...: Rozi ni binti anaeishi na bibi yake mtaa wa mwangata mkoani Iringa leo hii amekutana na mlatibu wa kikundi cha Miale sanaa Group Timoti Joh...
Subscribe to:
Posts (Atom)