KWA NINI MASHOGA WANAONGEZEKA BONGO?
Nimepita pita huko mitaani hasa
Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, Nimeshangaa sana
kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza
kama machangudoa, nini hasa tatizo ??
embu toeni comment zenu hapa na mwono wako juu ya swala hili labda tunaweza pata wazo jipya kuhusiana na hili maana hali inazidi kila kukicha
No comments:
Post a Comment